MAELEKEZO YA JINSI YA KUENDELEA KUKABILIANA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA (COVID-19)

Pokeeni salama za pekee kutoka makao makuu ya TAG - Dar es salaam. Tunamshukuru Mungu ambaye ameendelea kututunza na kutulinda hasa katika kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya Corona (COVID - 19) hapa nchini na duniani kwa ujumla. Kamati kuu ya Utendaji ya Tanzania Assemblies of God (TAG) kwa niaba ya Halmashauri kuu ya [...]