Category: Church News

Uwezo Financial Services

UCHAGUZI MKUU WA TAG 2020

Kanisa la TAG lilifanya mkutano mkuu wa mwaka 2020 Mkoani Dodoma katika Chuo cha Biblia (Central Bible College) kuanzia tarehe 11 - 14 Agosti 2020. Mkutano huu ulihusisha uchaguzi wa Kamati Kuu ya Utendaji yaani Viongozi wa Taifa wa Tanzania Assemblies of God. Katika mkutano huu ndipo walipochaguliwa Vongozi wa Taifa watakaomtumikia Mungu kuanzia mwaka [...]
Uwezo Financial Services

MAOMBI YA KUOMBEA TAIFA LETU LA TANZANIA

Wapendwa Maaskofu wa Majimbo, Waangalizi, Wachungaji na Washirika wote. Napenda kuwataarifu kuwa, Kamati Kuu ya Utendaji ya TAG imeitikia wito wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dktr. John Pombe Magufuli wa kutenga siku tatu za maombi kuombea taifa dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19) Hivyo basi, tunaelekeza siku ya [...]
Uwezo Financial Services

MAELEKEZO YA JINSI YA KUENDELEA KUKABILIANA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA (COVID-19)

Pokeeni salama za pekee kutoka makao makuu ya TAG - Dar es salaam. Tunamshukuru Mungu ambaye ameendelea kututunza na kutulinda hasa katika kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya Corona (COVID - 19) hapa nchini na duniani kwa ujumla. Kamati kuu ya Utendaji ya Tanzania Assemblies of God (TAG) kwa niaba ya Halmashauri kuu ya [...]

Ready to get started ?

Speak to Uwezo Financial +255 786 670 921

×