Church News

UCHAGUZI MKUU WA TAG 2020

Kanisa la TAG lilifanya mkutano mkuu wa mwaka 2020 Mkoani Dodoma katika Chuo cha Biblia (Central Bible College) kuanzia tarehe 11 – 14 Agosti 2020. Mkutano huu ulihusisha uchaguzi wa Kamati Kuu ya Utendaji yaani Viongozi wa Taifa wa Tanzania Assemblies of God.

Katika mkutano huu ndipo walipochaguliwa Vongozi wa Taifa watakaomtumikia Mungu kuanzia mwaka 2020 mpaka 2024. Na viongozi waliochaguliwa ni hao wafuatao hapo chini.

 

Uongozi Wa TAG Taifa 2020 – 2024

  • Askofu Mkuu: Rev. Dr. Barnabas Mtokambali
  • Makamu Askofu Mkuu: Rev. Dr. Magnus Mhiche
  • Katibu Mkuu: Rev. Dr. Boniface Mgonja
  • Mtunza Hazina Mkuu: Rev. Ron Swai

Miaka 13 ya Moto wa Uamsho
Tunamtaka Bwana na Nguvu zake

Write A Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Ready to get started ?

Speak to Uwezo Financial +255 786 670 921

×