Church News

MAOMBI YA KUOMBEA TAIFA LETU LA TANZANIA

Wapendwa Maaskofu wa Majimbo, Waangalizi, Wachungaji na Washirika wote. Napenda kuwataarifu kuwa, Kamati Kuu ya Utendaji ya TAG imeitikia wito wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dktr. John Pombe Magufuli wa kutenga siku tatu za maombi kuombea taifa dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19)

Hivyo basi, tunaelekeza siku ya kesho Ijumaa, Jumamosi na Jumapili, makanisa yote ya TAG bara na visiwani tufanye maombi ya mfungo wa masaa 12 kila siku kuliombea taifa letu zuri dhidi ya maambukizi ya COVID-19.

Akamwambia Yehoshafati, Je! Utakwenda nami tupigane na Ramoth-gileadi? Yehoshafati akamwambia mfalme wa Israeli, Mimi ni kama wewe, na watu wangu ni kama watu wako na farasi zangu ni kama farasi zako.

2 Wafalme 22:4

Mungu awabariki sana kwa ushirikiano wenu

Write A Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Ready to get started ?

Speak to Uwezo Financial +255 786 670 921

×